
AZAM FC KAZI IMEANZA HUKO
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili itafanya usajili wa maana kutokana na mahitaji ya benchi la ufundi hivyo mashabiki wawe na subira kila kitu kipo kwenye mpango. Azam FC kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 15 imekusanya pointi 33 ipo nafasi ya tatu vinara ni Simba wenye pointi 34…