VITA YA SIMBA NA NAMUNGO BADO HAIJAISHA
ILIKUWA ni vita yenye mwendelezo wa msako wa pointi tatu ndani ya uwanja ambapo kila timu ilipambana kuonyesha ubora wake dakika 90 mwanzo mwisho licha ya ushindi bado haijaisha kwa kuwa kuna mzunguko wa pili unakuja. Simba imekuwa na kawaida ya kutumia dakika 15 za kipindi cha kwanza kupambana kusaka bao la mapema kisha dakika…