
DAKIKA 270 ZA AZAM FC HIZI HAPA
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanakibarua cha kusaka pointi tatu ndani ya uwanja ambapo Oktoba wanamechi tatu zenye dakika 9 zinazosakwa na wao pamoja na wapinzani wao pia wanazihitaji pointi hizo tatu muhimu. Tayari Mzizima Dabi ya Azam FC v Simba mzunguko wa kwanza ulikamilika kwa ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex kusoma Azam…