
SINGIDA BLACK STARS BADO NAMBA MOJA
SINGIDA Black Stars wamerejea kwa mara nyingine namba moja kwa kuishusha Fountain Gate ambayo iliweka kambi hapo kwa muda ilipopata ushindi kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Kagera Sugar. Sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania inawafanya wafikishe pointi 13 kibindoni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ambao ushindani wake ni mkubwa. Katika…