
HIKI HAPA KILICHOMPONZA UCHEBE KUKUTANA NA THANK YOU
PATRICK Aussems maarufu kama Uchebe hatakuwa ndani ya kikosi cha Singida Black Stars pamoja na Dennis Kitambi aliyekuwa msaidizi wake baada ya kukutana na Thank You Novemba 25 2024. Kwa sasa timu hiyo itakuwa chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhani Nswanzurwimo lama kocha mkiu wakati akitafutwa kocha mwingine. Mechi 11 nafasi ya nne, pointi 24…