
MKANDAJI KIBU D NA UJUMBE WAKE KWA WAARABU
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis amesema kuwa malego makubwa ni kuona wanapata matokeo katika mechi za kitaifa na kimataifa ndani ya uwanja kutokana na ushirikiano uliopo. Kibu ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ambapo kwenye mechi 15 za ligi ni 11 alipata nafasi ya kucheza akikosekana kwenye mechi 4…