
HIZI HAPA REKODI ZA MASTAA WA SIMBA KARIAKOO DABI
WAZEE wa Ubaya Ubwela, Simba walipoteza katika mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 19 2024 kwa kushuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Yanga. Ipo wazi kuwa mchezo ulikuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu na hapa tunakuletea rekodi za mastaa wa Simba namna hii:- Mussa Camara Alianza kikosi cha kwanza chini ya Kocha…