
MOROCCO KUKUTANA NA MOROCCO, KIVUMBI CHAN 2024
TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la Morocco itacheza na timu ya taifa ya Morocco kwenye mchezo wa robo fainali CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Tanzania inaongoza kundi B ikiwa na pointi 10 baada ya mechi nne ambapo katika mechi hizo ilipata ushindi mechi tatu na kugawana…