
MERIDIANBET YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI KINONDONI
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet leo hii iliamua kufunga safari moja kwa moja mpaka mtaa wa Mpakni Kinondoni B na kugawa mapipa ya taka kwa lengo la kuwezesha ukusanyaji mzuri wa taka na kudumisha mazingira safi. Katika tukio hilo la kutoa mapipa hayo ya taka, Meridianbet ilisema kuwa vifaa hivyo vina lengo la…