
MALIZA WIKENDI YAKO NA USHINDI NDANI YA MERIDIANBET
Jumapili ndio hii imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na SERIE A kule Italia pia kuna mechi kali za hela ambapo US Lecce atamenyana dhidi ya Genoa ambao wapo nafasi ya 13. Mara ya…