YANGA YAZINDUA JEZI MPYA MSIMU WA 2025/2026

Klabu ya Yanga imezindua rasmi jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa mashindano wa 2025/2026. Jezi mpya zimebeba mchanganyiko wa ubunifu wa kisasa na rangi za kijadi za klabu hiyo – kijani na njano – zikionyesha utambulisho wa mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania. Muundo mpya unalenga kuipa timu taswira ya kisasa zaidi, sambamba…

Read More

KIUNGO AKUBALI YAISHE YANGA AVUNJA MKATABA, ATIMKA

MARA baada ya kufikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga, kiungo Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe na juzi Jumatatu mchana alipanda ndege kurejea nyumbani kwao Burundi. Hiyo ni baada ya kufikia makubaliano mazuri ya pande mbili mchezaji na timu yake ya zamani ya Yanga iliyokubali kumlipa Sh 700Mil kwa awamu tatu….

Read More

COSMOPOLITAN WAZITAKA POINTI TATU ZA PAN AFRICANS

UONGOZI wa Cosmopolitan umebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa Championship dhidi ya wapinzani wao Pan Africans wakiwa ugenini. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Februari 3 Uwanja wa Mabatini, Pwani kwa wababe hawa wawili kusaka pointi nani ya dakika 90. Ikumbukwe kwamba Ofisa Habari wa Cosmopolitan, Leen Essau aliibuka ndani…

Read More