
HAJI MANARA ATIBUA, AONYWA NA JESHI LA MAGEREZA
JESHI la Magereza Tanzania limemuonya Mwanachama wa klabu ya Yanga Sc, Haji Sunday Manara kwa kauli isiyo ya kiungwana yenye viashiria vya kutweza utu na yenye mwelekeo wa kulifedhehesha Jeshi hilo aliyotoa baada ya mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la KMC Complex. Taarifa ya leo Desemba 23 iliyotolewa…