WATANO HAWA YANGA HATIHATI KIMATAIFA
MWAMBA Pacome Zouzoua anasumbuliwa na maumivu ya goti alipata maumivu mchezo wa Mzizima Dabi. Kuna hatihati kwa nyota hawa kuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Khalid Aucho alikosekana Mzizima Dabi anasumbuliwa na goti, Zawadi Mauya naye hayupo fiti huku Attohoula Yao aliumia kwenye nyama…