
KIPA WA YANGA AJENGA UFALME WAKE
KWENYE eneo la makipa Bongo Djigui Diarra wa Yanga ameendeleza kujenga ufalme wake akiwa amecheza jumla ya mechi 8 za ushindani bila kufungwa ndani ya uwanja. Mechi hizo ambazo amcheza ni dakika 720 kwa Diarra amekomba akiwa uwanjani katika mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akishirikiana na wachezaji wengine wa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha…