
YANGA KWENYE MSAKO WA POINTI DHIDI YA JKT TANZANIA
FT:Uwanja wa Azam Complex Yanga 2-0 JKT Tanzania Goal Pacome pasi ya Clatous Chama dk 23 Clatous Chama goal dk 43 Dennis Richard ananyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na mwamuzi Arajiga kwa kosa la kudaka mpira nje ya eneo lake. MCHEZO wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex umeanza kwa kasi kwa…