KOCHA SIMBA ANAAMINI VIWANGO VINAZIDI KUPANDA

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa maendeleo ya wachezaji wake pamoja na viwango vyao vinazidi kuwa imara kila siku. Kocha huyo raia wa Brazil amebainisha kuwa anafurahishwa na uwezo wa kila mchezaji kwa namna anavyojituma kwenye kikosi. Ijumaa wachezaji wa Simba walianza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa…

Read More

FULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO

FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito. Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu. Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha 5G. Raul…

Read More

SIMBA FANYENI KWELI LEO KIMATAIFA

SIMBA SC, leo Jumapili inatarajiwa kuvaana na ASEC Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalam. Huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba katika hatua hii ikiwa ni timu pekee ya Tanzania katika michuano hiyo. Simba imekuwa na historia nzuri katika michuano hiyo ya kimataifa kwa siku za karibuni, tunaamini kuwa wataendakufanya kweli kuanzia mchezo wa leo…

Read More

MAKIPA BONGO MAKOSA MUHIMU KUFANYIA KAZI

MAKIPA wengi wamekuwa wakiingia kwenye lawama kutokana na kufungwa mabao ambayo yanaleta maswali baada ya mchezo husika. Hii imekuwa ikiwakumba makipa wote wale wageni na hawa makipa wazawa nao wamekuwa kwenye kasumba hii jambo ambalo halipendezi. Ukweli upo wazi kwamba mpira ni mchezo wa makosa lakini yanapozidi ni muhimu kufanyia kazi na kila mmoja kutimiza…

Read More

SIMBA KUTUMIA MBINU ZA CAF KUIKABILI YANGA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa watatumia uzoefu ambao wamepata kwenye mechi za kimataifa kuweza kuwakabili Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho.   Yanga ilitangulia katika hatua ya robo fainali kwa ushindi mbele ya Geita Gold hivyo itakutana na Simba katika mchezo wa nusu fainali Mei 28,Uwanja wa…

Read More

RATIBA LIGI KUU BARA BONGO

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Novemba 17,2022 inatarajiwa kuendeea kwa timu kuyeyusha dakika 90 msako wa pointi tatu muhimu. Ihefu ya Mbeya itawakaribisha Polisi Tanzania mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Mbeya City ya Mbeya itawakaribisha Kagera Sugar, Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Yanga ya Dar itawakaribisha Singida Big Stars, Uwanja wa Mkapa, Dar…

Read More

SALAH AVUNJA UKIMIYA LIVERPOOL

MOHAMED Salah amesema hatma yake ndani ya Liverpool iko mikononi mwaka bodi ya klabu hiyo, ila yeye anapenda kuendelea kubaki Anfield. Ishu ya Salah kusaini mkataba mpya ndani ya Liverpool imekuwa ikizungumzwa tangu mwaka jana lakini hakuna muafaka uliofikiwa mpaka sasa. Salah anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya miezi 18 ijayo katika klabu hiyo na…

Read More

SIMBA YASHINDA MBELE YA POLISI TANZANIA

KIKOSI cha Simba leo Oktoba 27 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao la ushindi limefungwa na kiungo Rarry Bwalya dakika ya 89 kwa mkwaju wa penalti iliyosababishwa na kiungo Bernard Morrison. Kwenye mchezo wa leo Polisi Tanzania walikuwa kwenye ubora…

Read More

YANGA YAGOMEA JAMBO HILI CAF

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa haujakata tamaa kwenye mashindano ya kimataifa malengo yao bado yapo kuona kwamba wanafikia hatua ya robo fainali. Katika mechi tatu ambazo ilicheza, Yanga ilivuna pointi mbili na safu ya ushambuliaji ilitupia mabao mawili huku ile ya ulinzi ikiruhusu mabao matano.  Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa malengo…

Read More