
GAMONDI KUISHUSHA SIMBA KILELENI NAMNA HII
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amebainisha kuwa wanahitaji pointi tatu dhidi ya Tabora United kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex Novemba 7 2024 kupata nafasi ya kuongoza ligi ambayo ina ushindani mkubwa huku vinara wakiwa ni Simba. Yanga ambao ni mabingwa watetezi baada ya kucheza mechi 9 imepoteza mchezo mmoja ilikuwa Novemba…