UWANJA MPYA WA AFCON WAANZA KUJENGWA MKOANI ARUSHA

Serikali kupitia wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo leo Machi 19, 2024 imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia Suluhu Hassani wenyewe thamani ya shilingi bilioni mia mbili na themanini na Sita ambao utatumika katika michuano ya mataifa Afrika AFCON 2027 inayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda Akizungumza na waandishi wa…

Read More

RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA

AZAM FC itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Azam Complex. Azam FC ipo nafasi ya nne ikiwa na pointi 21 inakutana na Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 17. Kesho Februari 4 kutakuwa na mchezo kati KMC v Biashara United. Mchezo…

Read More

NBC DODOMA INTERNATIONAL MARATHON JUMAPILI JULAI 31

IKIWA ni takribani wiki tatu zimesalia kuelekea NBC Dodoma International Marathon itakayofanyika siku ya Jumapili Julai 31, wanariadha wameendelea kujifua ili kushiriki mbio hizo za kimataifa. Leo tumeshuhudia klabu za wanariadha ya Kigamboni runners ikishirikiana na klabu ya wanariadha ya NBC Jogging club ambao wamefanya mazoezi ya pamoja kwa kukimbia kilomita 10 na kilomita 5…

Read More

THANK YOU YA KWANZA KWA KOCHA BONGO

SINGIDA Fountain Gate imeweka wazi kuwa Hans Pluijm hataendelea kuwa kwenye benchi la ufundi msimu wa 2023/24. Pluijm amepewa mkono asante Agosti 29 ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa sasa timu hiyo ya Singida Fountain Gate itakuwa chini ya Mathias Lule ambaye ni kocha msaidizi. Mchezo wa…

Read More

AZAM FC KUTUPA KETE YAO KAITABA

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wamejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC inaanza leo mzunguko wa pili baada ya kufunga mzunguko wa kwanza na rekodi ya kushinda mechi 8 mfululizo chini ya Ongala. Kwenye msako wa pointi 24, Ongala…

Read More

WATANO WA YANGA KUIKOSA GEITA GOLD

NYOTA watano wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Geita Gold. Ni Jesus Moloko, Djuma Shaban pamoja na Khalid Aucho ambao hawa hawapo fiti kuweza kuanza mchezo wa leo. Aucho inaripotiwa kwamba amepata majeraha huku Djuma akitajwa kuwa na Mlaria na Moloko yeye ni…

Read More

MWEDNO WA RUVU NI WA KINYONGA

MWENDO wa Ruvu Shooting kwa msimu wa 2022/23 hakika ni wa kinyonga kutokana na kushindwa kuwa kwenye ule ubora wao wa kupapasa. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 imekusanya pointi 20 baada ya kucheza mechi 25. Ukuta wao umeruhusu kutunguliwa mabao 30 huku ile safu yao ya ushambuliaji ikitupia mabao 16. Timu hiyo imepoteza jumla…

Read More

YANGA KAMBINI JULAI MOSI

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao wa 2024/25 (Pre Season) kwa kikosi cha Yanga yataanza Julai Mosi. Kupitia taarifa ya klabu hiyo imeelezwa kuwa kuhusu ni wapi kambi hiyo itawekwa na juu ya kikosi cha msimu huo kwa maana ya wachezaji wapya na walioachwa itajulikana wakati…

Read More