
HII HAPA KAZI YA WANASIMBA, KIMATAIFA KWA MKAPA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wanachama wa Simba leo ni sikukuu yao kwa kufanya mambo makubwa mawili, mapema kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kisha jambo la pili kukutana Uwanja wa Mkapa kuishangilia Simba saa 10:00 jioni. Simba ina inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids inakibarua…