
MASTAA HAWA WANNE YANGA HATIHATI KUIKOSA NAMUNGO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic wanakibarua cha kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Namungo huku nyota wanne wakitarajiwa kuukosa mchezo huo wa ligi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa saa 12:30 kwa wababe wawili kuwa kwenye hesabu za kusaka pointi tatu muhimu baada ya dakika 90….