
NYOTA HAWA WAWILI SIMBA BALAA LAO LIPO NAMNA HII
MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni balaa zito kwenye mapigo ya penalty kwa kuwa wakishika mpira tu lazima wafunge ikiwa watapewa jukumu la kazi hiyo. Ikumbukwe kwamba kupiga penati kunahitaji umakini mkubwa kutokana na asilimia kubwa wengi kuhesabu kuwa ni bao lakini wapo mafundi wakubwa ambao hukosa…