
RAIS SAMIA KUHUSU KARIAKOO – ”13 WAFARIKI DUNIA – 80 WAMEOKOLEWA – TUTABEBA GHALAMA” -VIDEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Nafasi ya kushinda kitita cha pesa unayo leo hii ndani ya Meridianbet kwani kuna mitanange kibao ya kutosha inaenda kupigwa kuanzia hapa Afrika mpaka kule Ulaya. Tandika jamvi lako na mechi za kufuzu AFCON leo hii ambapo Algeria atamleta kwake Liberia ambao wameshinda mechi moja pekee kati ya 5 walizocheza huku mara ya mwisho kukutana…
Timu ya taifa ya Tanzania imefuta uteja mbele ya Ethiopia baada ya kushinda kwa mara ya kwanza kihistoria dhidi ya Wahabeshi hao na kuweka hai matumaini ya kufuzu AFCON 2025. Kwa ushindi huo wa mabao 2-0 Stars imekwea mpaka nafasi ya pili ikifikisha pointi 7 baada ya mechi 5 huku Ethiopia ikiendelea kusalia mkiani pointi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema zoezi la uokoaji kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika eneo la Soko la Kimataifa la Kariakoo linaendelea tangu kutokea kwa ajali hiyo na halikusitishwa kama baadhi ya taarifa zilivyoenea mitandaoni. Akizungumza akiwa Kariakoo Chalamila amesema kuna watu bado wapo chinii, hivyo waokoaji…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kushirikiana na Kamati za Ulinzi kuhakikisha manusura waliofukiwa na kifusi cha ghorofa lililoporomoka Wanaokolewa Aidha, Waziri Mkuu ameagiza Mitungi ya Hewa ya #Oxygen ipelekwe kwenye eneo hilo ili kuwasaidia manusura waliopo chini ambao bado hawajaokolewa wakati zoezi la uokozi likiendelea Hadi sasa watu kadhaa…
Timu ya Taifa ya Tanzania leo hii itakuwa ugenini kusaka ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu AFCON 2026, huku wewe ukiwa na nafasi ya kuondoka na mkwanja mrefu. Ethiopia itakuwa nyumbani dhidi ya Tanzania majira ya saa moja usiku. Ikumbukwe kuwa Stars leo hii inahitaji ushindi wa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi…
TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo Novemba 16, 2024 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia katika uwanja wa Taifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (Martyrs de la Pentecote) ikihitaji kufufua matumaini yake ya kukata tiketi ya AFCON 2025. Wenyeji, Ethiopia ambao wamechagua…
Kupitia mchezo wa 20 Imperial Crown unakuvalisha taji lakini haishii hapo kwani pia unaweza kujishindia kitita kikubwa kupitia mchezo huu wa kasino, Kwani mchezo huu umekua moja ya michezp pendwa ya kasino na watu wamekua wajishindia vitita vikubwa. 20 Imperial Crown Deluxe Sifa Zake 20 Imperial Crown Deluxe kasino mtandaoni wenye safu tano zilizopangwa katika…
Klabu ya Yanga imemtangaza raia wa Ujerumani, Sead Ramović kuwa kocha mkuu wa timu hiyo baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha kwa klabu hiyo, Miguel Gamondi. Ramovic alikuwa kocha mkuu wa klabu ya TS Galaxy ya Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2024.
Je unajua kuwa leo hii una nafasi kubwa ya kuondoka ukiwa na tabasamu la kutosha?. Kama hujui basi mimi nakujuza kuwa mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekupatia ODDS za kibabe kwenye mechi za Mataifa. Hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Spain atakipiga dhidi ya Denmark ambapo timu hizi mara ya mwisho kukutana mwenyeji…
Pambano kali la masumbwi linapigwa leo pale jijini Texas Marekani ambapo litakutanisha miamba miwili kati ya Mike Tyson dhidi ya Jake Paul, Huku likitazamwa kama pambano la Baba na mwana kutokana na umri ambao Mike Tyson amemuacha kijana Jake Paul. Bondia Mike Tyson maarufu kama Iron Mike ambaye alikua bingwa wa dunia uzito wa juu…
Mwanamuziki Mkongwe Boniface Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kikii’ amefariki dunia. Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 15 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa akipatiwa matibabu King Kikii atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika muziki wa dansi Tanzania. Kwa miaka mingi ameburudisha, amefundisha na kuelimisha jamii kupitia…
Mchezo wa Kasino unaobamba kwasasa mjini wa 5 Hot Strike umeendelea kua mchongo kwa wachezaji wa kasino, Kwani kadri siku zinavyoenda mbele ndivyo unaendelea kutoa mamilionea wapya. 5 Hot Strike ni mchezo wa sloti unaopatikana kasino ya mtandaoni ndani ya meridianbet, umetengenezwa na Fazi. Katika mchezo huu wa kasino, utafurahia alama za pori/Wild na alama…
Klabu ya KMC FC, imemtangaza Kali Ongala kuwa Mkuu mpya wa timu hiyo, baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha Mkuu, Abdihamid Moalin. Akiwa kama kocha, Kali amewahi kuifundisha klabu ya Azam FC, lakini pia akiwa kama mchezaji amewahi kuzichezea klabu kama Azam FC, Yanga SC, GIF Sundsvall na nyingine kadhaa. “Uamuzi wa kumchagua Kali Ongala…
Rais wa sasa wa CAF , Patrice Motsepe amepitishwa kuwa mgombea pekee wa kiti cha uraisi wa shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF kuelekea uchaguzi mwezi March 2025. Kwa maana hiyo ataendelea kusalia katika nafasi hiyo sasa na hata baada ya uchaguzi March 2025
Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Jordaan, ambaye alichukua jukumu kubwa katika kuandaa Kombe la Dunia la 2010 nchini Afrika Kusini, alijaribu kuzuia kukamatwa kwake siku ya Jumanne, lakini jana alikamatwa….
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kimepeta kwenye rekodi ndani ya 2024/25 kutokana na kufanya vizuri kwa wachezaji baada ya mechi 10. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa hayo yote yanatokana na uwekezaji ambao umefanywa kwa kuchukua wachezaji wenye ubora mkubwa. “Tuna wachezaji wenye namba…