
DR LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA betPawa NBL
FAINALI ya Wanawake mashindano ya Klabu bingwa ya mpira wa kikapu nchini “betPawa NBL” itafanyika Jumatano Novemba 20, 2024 kwa mechi ya DB Lioness na Fox Divers Uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Fainali hiyo imepangwa kuanza saa 12.00 jioni inatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutoka kwa wachezaji wa timu zote mbili. Fox Divaz wamefuzu hatua…