
KOCHA YANGA AKOSOA MFUMO WA KOCHA MPYA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amekosoa mfumo wa kocha mpya wa Simba, Pablo Franco kuwa ni wa tofauti na ule uliokuwa ukitumika na kocha aliyepita Didier Gomes. Nabi amesema kuwa kuna tofauti kubwa ya uchezaji ambao upo ndani ya Simba kwa wakati huu baada ya kupata kocha mpya ambaye ni Franco. “Kuna mabadiliko kwenye…