KIPA WA SIMBA AMEWEKA UFALME WAKE

KIPA namba moja wa Simba, inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids amejenga ufalme wake kwa makipa ambao wana hati safi nyingi ndani ya ligi yeye ni kinara, Mousa Camara ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Kipa huyo ni mechi 18 kacheza akikomba dakika 1,620 akiwa ni miongoni mwa wachezaji waliokomba dakika nyingi…

Read More

YANGA YATAMBULISHA NYOTA WAPYA WATATU

WINGA Dennis Nkane aliyekuwa akikipiga ndani ya Biashara United sasa ni rasmi atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga. Nyota anakuwa wa tatu kutambulishwa rasmi ndanj ya Yanga baada ya Sure Boy na Aboutwalib Mshery kutambulishwa. Ni zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Yanga kwa kuwa alitambukishwa Januari Mosi 2022. Dili lake ni la miaka…

Read More

MBWANA SAMATTA KAZINI DR CONGO

MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars yupo kazini akiwa ni miongoni mwa wapeperusha bendera ya Tanzania kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo. Kikosi kamili Oktoba 10 2024 kipo namna hii:- Ally Salim Lusajo Mwaikenda Mohamed Hussen Ibrahim Bacca Job Adolf Mtaswigwa Kibu Dennis Mudathir Yahya…

Read More

JUMAPILI YA KUFOSI KWA YANGA YAJIBU

JUMAPILI ya kufosi kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi imejibu kwa kuibuka na ushindi mbele ya KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kucheza uwanja wa nyumbani baada ya kucheza mechi mbili ugenini kwa kuanza na Kagera Sugar 0-2 Yanga, Ken Gold 0-1 Yanga hizi zote…

Read More

BONASI KIBAO KUTOLEWA UKITUMIA AIRTEL PUSH

Anza mwaka na Funga mwaka na Airtel Push ndani ya Meridianbet kibabe ambapo wakali wa ubashiri Tanzania wamekuja na promosheni kali kabisa kwa wateja wao wa Airtel. AIRTEL PUSH ni promosheni ambayo ilianza toka Januari 01, na itamalizika mwisho wa mwaka yaani mwezi Disemba 31 mwaka 2025 na Meridianbet wanakwambia hivi pesa yako ya kwanza…

Read More

KOCHA SIMBA APISHANA NA TUZO

KOCHA Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha amepishana na tuzo ya kocha bora baada ya kuingia kwenye tatu bora ya wale wanaowania tuzo hiyo. Mrithi huyo wa mikoba ya Roberto Oliveira alikuwa kwenye chungu kimoja na Walid Regragui wa Morocco pamoja na Aliou wa Senegal. Mwisho kwenye usiku wa tuzo  kocha bora kwa timu za wanaume…

Read More

SIMBA 1-0 WYDAD CASABLANCA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 1-0 Wydad Casablanca ikiwa ni hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Bao la kuongoza limefungwa na mshambuliaji Jean Baleke akiwa ndani ya 18 dakika ya 30. Dakika 45 za mwanzo Simba imepata umiliki wa asilimia 55 huku Wydad wakiwa na umiliki wa asilimia 45. Ushindani ni mkubwa huku…

Read More

SIMBA QUEENS WASHINDA KIMATAIFA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa, baada ya dakika 90 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, Simba imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali. Ni mabao ya Vivian Aquino Corazone anayevaa uzi namba 4 dakika ya 15 huku Philomena Abakay yeye alitupia mabao mawili na uzi wake mgongoni ni namba 27. Mshambuliaji mahiri…

Read More

YANGA YAWASHUKURU MASHABIKI KWA JAMBO HILI

WALTER Harson, Meneja wa Yanga amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars ulikuwa wenye ushindani mkubwa kutokana na mvua kubwa mchezo huo ulishindwa kumalizika huku wakiwashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kuwashangilia. Ni Machi 24 Singida Black Stars waliwakaribisha Yanga katika mchezo wa kirafiki ambapo ulikuwa maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Uwanja…

Read More

MAKIPA BONGO MAKOSA YAO YANAWAADHIBU

KWENYE mechi mbili mfululizo, Mussa Mbisa kipa namba moja wa Tanzania Prisons amefanya kosa moja lililoigharimu timu kufungwa bao moja. Rekodi zinaonyesha kuwa mchezo dhidi ya Azam FC Uwanja wa Sokoine alifungwa bao moja kwa kosa la kutema mpira mtupiaji alikuwa Idd Nado dakika ya 11 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine…

Read More

JEMBE JIPYA AZAM FC HILI HAPA LATAMBULISHWA

RASMI Azam FC imemtambulisha nyota mpya katikakikosi hicho ambaye ni kipa. Taarifa ya matajiri hao wa Dar imeeleza kuwa wameinasa saini ya nyota huyo kutoka Ghana, Abdulai Iddrisu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Bechem United ya kwao Ghana. Kazi imeanza kwa mabosi hao ambao waliweka wazi kuwa usajili wao utakuwa na mtikisiko ndani ya…

Read More