
MKALI WA PASI ZA MWISHO SIMBA HATIHATI KUIKOSA NAMUNGO
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba, Jean Ahoua ni majanga kwa kuwa bado hayupo fiti baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Oktoba 19 2024. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo dhidi ya Yanga Ahoua alichezewa faulo dakika ya 27, 36, 54, 78 na alicheza faulo dakika ya 12, 45 alionyeshwa kadi ya…