REKODI ZA AIR MANULA BONGO ZIPO NAMNA HII
AISHI Manula, anapenda kujiita Air Manula kipa namba moja wa Simba amezidi kuwa bora langoni ambapo mpaka sasa kwa rekodi zake hakuna kipa ndani ya Ligi Kuu Bara ambaye ameweza kumfikia na ni yeye amesepa na tuzo yake ya kipa bora kwa msimu wa 2020/21. Aliweza kuwashinda Jeremiah Kisubi ambaye alikuwa Tanzania Prisons na sasa…