KIKOSI BORA CHA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA
UTOAJI wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake. Kutokana na timu ya taifa ya Wanawake kuwa na majukumu ya taifa wengi…