
MECHI KALI LEO HII, ARSENAL VS CHELSEA , ATLETICO MADRID VS BARCELONA
Jumapili ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. LALIGA pale Hispania itaendelea leo ambapo Sevilla atamleta kwake Athletic Bilbao ambao wanashika nafasi ya 4, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9. Mara ya mwisho…