
HII HAPA RATIBA BONGO NA MATOKEO
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC leo watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Fountain Gate mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Ipo wazi kwamba namba moja kwenye ligi ni Azam FC ikiwa na pointi 30 baada ya mechi 14 inakutana na Fountain Gate iliyo nafasi ya 6 na…