
CHEKI DAKIKA 360 ZA MOTO YANGA FEBRUARI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga kwa sasa ana dakika 360 za moto kusaka ushindi kwenye mechi za ushindani zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya Februari. Ikiwa inaongoza ligi na pointi zake 35 baada ya kucheza mechi 13 inakigongo cha moto Februari 5, Uwanja wa Mkapa itakuwa dhidi ya Mbeya City. Mbeya City imekuwa…