
MAYELE MCHEZAJI BORA JANUARI
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amecheguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Januari baada ya kuchaguliwa na Kamati ya Tuzo za TFF iliyokutana wiki hii Dar. Mayele mwenye mabao sita na pasi mbili za mabao amekuwa ni mshambuliaji mwenye mwendo bora awapo uwanjani na ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Ametwaa tuzo hiyo…