
KOCHA ALIYEWATUNGUA SIMBA APEWA TUZO
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ambaye alikiongoza kikosi chake kuitungua Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco amepewa tuzo ya kocha bora wa mwezi Januari. Kwa mujibu wa kikao cha Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), kilichokutana hivi karibuni Dar kimechagua jina la Baraza kuwa kocha bora wa Januari. Baraza…