
MO APIGA HESABU ZA UBINGWA KIMATAIFA SIMBA
MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, Mohammed Dewji, ‘Mo’ amesema kilicho mpeleka kambini leo ni mapenzi yake kwa Simba na amekutana na viongozi wachezaji kwa ajili ya kuwapa hamasa kuelekea mchezo dhidi ya ASEC ya Ivory Coast. Mo ameweka wazi kuwa malengo makubwa kwa Simba ni kuweza kuona inafanya vizuri kitaifa na kimataifa kwa kubeba makombe…