
YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA NAMUNGO
MCHORA ramani wa Yanga ameweka wazi kuwa wanakabiliwa na mchezo mgumu kesho na watapambana kupata pointi tatu muhimu unatarajiwa kuchezwa saa 12:30 jioni. Sead Ramovic amebainisha kuwa maandalizi yapo vizuri na wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao utakuwa na ushindani mkubwa na malengo ni kuona wanapata pointi tatu muhimu. “Tuna mchezo mgumu mbele…