
NGASSA MRISHO KUCHEZESHA DROO YA CHAN 2024
MFUNGAJI Bora wa muda wote wa Timu ya taifa, Taifa Stars Mrisho Khalfan Ngassa yupo nchini Kenya ambaye yeye ni kati watu watakaochezesha droo ya upangaji wa Makundi ya michuano ya Chan mwaka 2024. Kwa Mujibu wa Ngassa alipata mwaliko huo hivi karibuni kutoka Caf, ikimtaka kuwepo katika uchezeshaji wa droo hiyo itafanyika Kenya kesho…