
KOCHA YANGA AWAAMBIA WACHEZAJI ATAFANYA MAAMUZI MAGUMU
KUTOKANA na presha wanayoipata kutoka kwa wapinzani wao katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amewaambia wachezaji wake kwamba, wanapaswa kuipambania timu katika mechi kumi zilizosalia, kwani mwisho wa msimu atafanya uamuzi mgumu. Nabi ametoa maagizo hayo ikiwa Yanga inaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa…