
CHAMA ATWAA TUZO MBELE YA FISTON MAYELE
CLATOUS Chama kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Machi. Kwa mujibu wa Kikao cha Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kilichokutana mwanzo mwa juma hili kimetoa mapendekezo hayo. Chama ameweza kutimiza majukumu yake vema katika mechi mbili ambazo aliweza kufunga mabao mawili na Simba ikaweza kusepa…