
MECHI YA KMC V DODOMA JIJI KUPIGWA AZAM COMPLEX
MCHEZO wa KMC FC wa Ligi kuu ya NBC Soka dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa kuchezwa katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Jumapili ya Februali 20,2022 umehamishwa na sasa utapigwa katika Uwanja wa Azam Complex Chamanzi Jijini Dar es Salaam saa moja kamili jioni. Kwa mujibu wa barua ya Bodi ya Ligi (TPLB) iliyotumwa jana mchana…