
BEI YA JEZI ZA YANGA YASHUSHWA ,MARIOO MWANANCHI
KLABU ya Yanga imepunguza bei ya jezi zake ili kuwapa nafasi mashabiki wake kununua jezi za timu yao kwa bei nafuu zaidi na kuongeza hamasa zaidi. Kauli hiyo imetolewa Februari 21, 2022 na Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ambaye ameweka wazi kuwa malengo ya kufanya hivyo ni kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo na…