
MAGUIRE ANAAMINI WANASHINDA PAMOJA WANAPOTEZA PAMOJA
IMEKUWA ni tofauti kwa yale ambayo walifikiria mashabiki wa Manchester United kuyapata kutoka kwa beki wao wa kazi ambaye ni wa bei ghali. Bado wapo ambao wanaamini kwamba nyota huyo atarejea kwenye ubora wake na kufanya vizuri kwenye mechi zote za mashindano. Ni Harry Maguire beki ghali ndani ya Ligi Kuu England mali ya Manchester…