
MBAPPE ATUPIA USIKU MBELE YA REAL MADRID
KYLIAN Mbappe staa wa Klabu ya PSG aliweza kuwatungua bao la ushindi Real Madrid katika mchezo wa UEFA Champions League hatua ya 16 bora. Ilikuwa dakika ya 90+4 nyota huyo aliweza kupachika bao hilo katika mchezo huo wa kwanza uliokuwa mkali mwanzo mwisho. PSG katika Uwanja wa Parc des Princes waliweza kupiga jumla ya mashuti…