
RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA
AZAM FC itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Azam Complex. Azam FC ipo nafasi ya nne ikiwa na pointi 21 inakutana na Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 17. Kesho Februari 4 kutakuwa na mchezo kati KMC v Biashara United. Mchezo…