
MRITHI WA ZIMBWE JR ATAFUTWA
MRITHI wa kitambaa cha unadhoa ndani ya kikosi cha Simba SC kwa sasa anatafutwa mara baada ya beki huyo wa kushoto kutambulishwa Jangwani. Zimbwe Jr alikuwa nahodha wa Simba SC msimu wa 2024/25 mkataba wake ulipogota mwisho hakuongeza kandarasi nyingine hivyo katambulishwa Jangwani akiwa mchezaji huru. Inatajwa kuwa mabosi wa Simba SC na benchi la…