
HUYU HAPA ATAJWA KUANDALIWA KUBEBA MIKOBA YA ZIMBWE JR SIMBA SC
WAKATI kikosi cha Simba SC kikitarajiwa kurejea Tanzania leo Agosti 28 2025 inaelezwa kuwa tayari benchi la ufundi lina jina la mrithi wa mikoba ya Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye alikuwa nahodha mkuu msimu wa 2024/25. Zimbwe Jr kwa sasa hatakuwa ndani ya Simba SC msimu wa 2025/26 baada ya kupata changamoto mpya ndani ya…