
WASHAMBULIAJI WAWILI WARUDI YANGA
WASHAMBULIAJI wawili ambao walikuwa nje kwa muda ndani ya kikosi cha Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Ni Yusuph Athuman ambaye alikuwa nje kwa muda akitibu majeraha ambayo yalikuwa yakimsumbua. Pia Crispin Ngushi naye pia amerejea kikosini kwa kuwa alikuwa anatibu majeraha pia. Athuman kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar…