
BEKI WA ORLANDO PIRATES AKIMBIZWA HOSPITALI
BEKI wa Orlando Pirates, Paseka Mako alikimbizwa Hospitali kupewa huduma jana Aprili 12 baada ya kupata majeraha walipogongana na kipa Richard Ofori kwenye mchezo wa DStv Premiership dhidi ya Baroka FC uliochezwa Uwanja wa Peter Mokaba. Ilikuwa ni kwenye muda wa nyongeza ambapo beki huyo aliweza kugongana na mchezaji mwenzake ambaye ni kipa Ofori aliyekuwa…