
MWAKA MMOJA WA KIFO CHA MAGUFULI KUKUMBUKWA KWA VITENDO
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba utaenzi kwa vitendo mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli. Klabu ya Yanga imekuwa na utamaduni wa kutoa kwa jamii ambapo wiki iliyopita ilicheza mechi ya hisani kwa ajili ya kuchangia Taasisi ya Ally Kimara na…