
AMEKABIDHIWA JEZI NZITO HUYU MWAMBA NDANI YA UNYAMANI
MZEE wa Waa Steven Mukwala amekabidhiwa jezi nzito ndani ya timu hiyo kutokana na kasi yake kutokuwa kwenye ubora ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25.
MZEE wa Waa Steven Mukwala amekabidhiwa jezi nzito ndani ya timu hiyo kutokana na kasi yake kutokuwa kwenye ubora ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamewapoteza watani zao wa jadi Simba kwenye eneo la ushambuliaji kwa kuwa na safu kali ya ushambuliaji ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25. Baada ya kucheza jumla ya mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 safu ya ushambuliaji ya Yanga imetupia mabao 50 ikiwa…
Meridianbet wanaendelea kuhakikisha mteja wao anafurahia huduma zao kwani kwasasa wamekujia na kitu kinaitwa Maximum payout, Ambapo wamepandisha kiwango cha kulipia tiketi moja na kufikia mpaka kiasi cha shilingi milioni 300. Kwa mfano leo kuna michezo tofauti tofauti itakayopigwa kwenye ligi kama Uingereza, Hispania, Italia, pamoja na ligi kuu ya Ufaransa ambapo unaweza kutumia huduma…
Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Al Masry katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo itaanzia ugenini kabla ya kumalizia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ikiifunga Al Masry, Simba itakutana na mshindi kati ya Zamalek na Stellenbosch FC katika nusu fainali. Kama Simba wataingia nusu fainali basi watakutana na…
Kupitia michezo ya Uefa Europa league ni fursa kwako ya kujishindia maokoto ya kutosha, Kwani leo inakwenda kupigwa michezo mikali yenye hadhi ya kukupa mkwanja ni wewe tu kuweka jamvi lako mapema. Michuano ya Europa League imekua ikitoa mkwanja wa kutosha kila mara na leo ndio ile siku yenyewe ya kuhakikisha unajipigia maokoto ya kutosha,…
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga akili zao kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 52 baada ya kucheza mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 kinara wa utupiaji mabao ni Clement Mzize mwenye…
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa kilichowavuruga kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Februari 19 2025. Ni Derric Mukombozi nyota wa Namungo alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 32 hali iliyopelekea wacheze dakika 58 wakiwa pungufu mbele ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,…
MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora, Clement Mzize anatajwa kuwa kwenye rada za Waarabu wa Moroco ambao wanahitaji saini yake. Ni Wydad Casablanca matajiri hawa wanatajwa kufika kwa mabosi wa Yanga na kuweka ofa yao mezani kwa ajili ya kupata saini ya kijana…
LEONEL Ateba anasalia na mabao 8 ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kukosa penalti dakika ya 51 mbele ya Namungo baada ya kipa Jonathan Nahimana kuokoa penalti hiyo iliyosababishwa na Elie Mpanzu. Ubayaubwela umeibukia Namungo kwa pointi tatu kuwa mali ya Simba wakiwa ugenini ndani ya dakika 90 kwenye mchezo wa mzunguko wa pili….
Kiungo wa klabu ya Yanga, Azizi Ki, ameendelea na mazoezi pamoja na wachezaji wenzake leo, kabla ya kuungana na mke wake, Hamisa Mobeto, kwa sherehe yao ya mapokezi (reception). Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika baadaye leo katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, ambapo ndugu, marafiki, na mastaa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria kusherehekea siku yao maalum.
Ligi ya mabingwa barani ulaya kama kawaida imekua ni michezo ya neema kwa wapenzi wa ubashiri, Kwani watu wamekua wakinyakua mikwanja ya kutosha kupitia michezo hii lakini utapigwa mchezo mmoja mkali wa ligi kuu ya Uingereza leo. Michezo ambayo inakwenda kuchezwa leo ina asilimia kubwa kukuacha milionea kwani michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya…
INATAJWA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye hesabu za mwisho kumalizana na nyota wa Ghana aliyemtungua Diarra kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex.
CHINI ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kuwa kwenye kibarua kizito mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa. Ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa wababe hawa kukutana uwanjani katika msako wa pointi tatu ambapo ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex…
Ni siku nyingine tena ya usiku wa mabingwa amabpo timu kubwa zitashuka dimbani kuchuana vikali kusaka nafasi za kusonga mbele kwenye michuano hii mikubwa Ulaya. Ushindi wa pesa nyingi upo Meridianbet. Tukianza na Atalanta baada ya kupoteza ugenini leo hii watawaleta nyumbani kwao Club Brugge ya kule Ubelgiji. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 kwenye ligi…
WAKATI watani zao wa jadi Yanga wakiwa hawana muda wakupoteza ndani ya 18, mastaa wa Simba huwa wanapata kigugumizi wakiwa ndani ya 18 kwenye kumalizia nafasi ambazo wanazipata kujaza ndani ya nyavu. Rekodi zinaonyesha kuwa timu namba moja kwa kufunga mabao mengi ndani ya 18 ni Yanga ikiwa inaongoza pia Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo…
Leo nakutoa dunia ya kawaida, kisha nakupeleka ulimwengu wa Poker Teen Patti. Ulimwengu wa matajiri, uliojaa pesa kila chaguo unaloweka ni ushindi tu. Jisajili Meridianbet kuanza safari yako. Ulimwengu wa michezo ya kasino ya mtandaoni unasifikia kwa kutajirisha watu kwa dau dogo sana, unapocheza mchezo wa poker mfano huu wa Teen Patti, basi wewe unahesabika…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Ubao umesoma Yanga 2-1 Singida Black Stars kwa mabao ya Mzize dakika ya 14 alifikisha mabao 10 akiwa kinara katika chati ya utupiaji Bongo. Bao la pili ni mali ya…