
MICHEZO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2022 INAENDELEA WIKIENDI HII
Burudani ya soka ipo kwenye michezo ya kimataifa, baadhi ya mataifa yameshafuzu kucheza Kombe la Dunia 2022 huku mengine yakikwama njiani. Wikiendi hii tunaendelea tulipoishia awali, jamvi lako litanogeshwa na Odds Bora za Meridianbet!! Barani Afrika, Cameroon wataingia uwanjani kuchuana na Algeria. Haya ni mataifa ambayo yanafanya vizuri kwenye soka la Afrika, ni damu…